Kidamal

Kidamal (au Kiamung) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadamal. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidamal imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidamal iko katika kundi lake lenyewe la Kidamal.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search